Usikate tamaa ndio neno ambalo tunaweza kusema kwa mchezaji ambao walionekana hawafai lakini baada ya kubadilishwa na ujio wa makocha umewafanya waonekane muhimu sana na kupiga mabao
Victor Moses amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba mara baada ya kufanya vizuri kwa mwezi huo , Moses alifanikiwa kufunga mabao 3 na kutoa msaada wa goli moja katika michuano ya ligi kuu England na kufunga michezo mitatu mwezi Novemba
Wachezaji wengine ambao walipata tuzo msimu huu ni pamoja na Edin Hazard, pamoja na kocha wao Antonio Conte.
0 on: " Victor Moses Mchezaji bora wa mwezi Novemba EPL "