visitors

display number of visitors

Blog Archive

Theme images by Storman. Powered by Blogger.

Monday, December 19, 2016

Darassa anusurika kifo kwenye ajali ya gari akiwa na meneja na director wake



Video ikionesha mwanamuziki Darassa Baada ya kupata ajali
Mwanamuziki Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Muziki amepata ajali akiwa na Mtayarishaji wa video Hanscana walipokuwa njiani wakirejea Dar es Salaam kutoka Kahama.
Ajali hiyo inaelezwa kuwa imetokea eneo la Ntobo barabara ya kuelekea mgodi wa Bullyanhulu, Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga.
Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa wamenusurika kifo.

0 on: " Darassa anusurika kifo kwenye ajali ya gari akiwa na meneja na director wake "