visitors

display number of visitors
Theme images by Storman. Powered by Blogger.
Showing posts with label Burudani. Show all posts
Showing posts with label Burudani. Show all posts

Monday, December 5, 2016

Q Chief afanya kolabo na msanii wa Nigeria, Patoraking

- No comments

Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q Chillah’ baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ameibuka kwa kishindo kizito kwa kufanya kolabo na msanii wa Nigeria, Patoraking.
Kupitia Global TV Online, Q Chillah amesema wimbo huo kwa mara ya kwanza atautambulisha rasmi katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa.

“Nilikuwa kimya sana ila kwa sasa nimerudi upya, mtazamo wangu ni wa kimataifa zaidi na nimefanikiwa kufanya wimbo na Patoranking ambao nitautambulisha rasmi Desemba 5, mwaka huu, mkoani Singida,” alisema Q Chillah.

Q Chillah aliongeza kuwa, wimbo huo umefanywa na watayarishaji watatu akiwemo, Abidady na D. Touch kutoka Tanzania na Suka Rekodi ya Nigeria chini ya Kampuni ya QS Mhonda Entertainment.

Tuesday, November 22, 2016

INSTA AWARD 2016 -Mpigie kura DJD OMMY katika kipengele cha BEST DJ

- No comments
TO VOTE FOR DJD-OMMY
POST THIS PHOTO AND WRITE
Nampigia kura@djdommy #TIA2801 #TzinstaAwards#Ideaz16

Nampigia kura@djdommy #TIA2801 #TzinstaAwards#Ideaz16

Namna ya kumpigia kura DJD OMMY , Mpost kwenye account yako, kisha ambatanisha maneno haya 
Nampigia kura@djdommy #TIA2801 #TzinstaAwards#Ideaz16
(Post moja inahebika kama kura moja, account moja inaruhusiwakupiga kura mara moja katika kila category kwa siku tafadhali zingatia hilo ili kutoharibu kura yako . Tuzo itatolewa tarehe 26 November  2016 kwenye @intsagrampartytz Escape 1 Mikocheni)

Diamond Platnumz Live Performance At Kendwa Rocks Zanzibar fullmoonparty part 1

- 1 comment

Pakua  na uangalia tamasha alilofanya Mwanamuziki Nguli nchini Tanzania Diamond Platnumz (Baba Tifah), Kwenye Party ya Fullmon , Kendwa Beach, Diamond alifanya tamasha live na kufanikiwa kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki waliofika kushuhudia show hiyo.