Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila anazidi kupokea shinikizo kimataifa kutokana na hatua ya kukataa kuachia maamlaka baada ya muhula wake wa kikatiba kukamilika jumatatu.
Ufaransa imesema itatuma ombi kwa umoja wa ulaya la kumwekea vikwazo iwapo ataendelea kushikilia maamlaka.
Ujerumani imehairisha majadiliano ya kuipa DR Congo msaada wa miradi ya maendeleo.
0 on: " Jamii ya kimataifa yamtaka Kabila kujiuzulu "