visitors

display number of visitors

Blog Archive

Theme images by Storman. Powered by Blogger.

Tuesday, December 27, 2016

Watu 30 wafariki baada ya boti yao kuzama Uganda

- No comments

Ziwa Albert ambapo takriban watu 30 wanadaiwa kufa maji Polisi nchini Uganda wanasema takriban watu 30 wamekufa maji baada ya boti yao kuzama katika ziwa Albert magharibi mwa taifa hilo. Abiria wengi walikuwa wanasoka na mashabiki...

Watu 11 wauawa kwenye sikukuu ya Krismas, Marekani

- No comments

Watu 11 wameuawa katika mashambulio ya risasi kwenye mkesha na sikukuu ya Krismas mjini Chicago Marekani. Polisi nchini humo wamesema pia kwamba watu zaidi ya 30 wamejeruhiwa katika mashambulizi hayo yaliyohusisha bunduki, na kuyahusisha na magenge...

Thursday, December 22, 2016

Petra Kvitova ashambuliwa kwa kisu

- No comments

Petra Kvitova Bingwa wa zamani wa mchezo wa Tennis Wimbledon, Petra Kvitova, amefanyiwa upasuaji kwenye mkono wake kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa kisu katika moja ya miji ya Jamhuri ya Chekslovakia. Akiandika kwenye...

Leicester yashinda tuzo la klabu bora ya mwaka Uingereza

- No comments

Klabu ya soka ya Leicester imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka kwa kuwashangaza wengi waliposhinda ligi ya Uingereza. The Foxes kama inavyojiita ilishinda tuzo ya timu bora ya mwaka na mkufunzi wake Claudio Ranieri alitangazwa...

Maafisa wa Nigeria wamekamata mchele wa plastiki

- No comments

Nigeria imekamata magunia 102 ya ''mchele wa plastiki'' yaliyokuwa yanaingizwa nchini humo na wafanyabiashara haramu ambao walitaka kuuza katika msimu huu wa sherehe, kulingana na afisa wa forodha katika mji mkuu wa nchi hiyo , Lagos....

Rais wa Gambia asema hang'atuki mamlakani ng'o

- No comments

Rais Yahya Jammeh wa Gambia Rais wa gambia Yahya Jammeh ameonya kuwa atakataa jaribio lolote la viongozi wa kieneo kumlazimisha kuondoka madarakani licha ya kushindwa katika uchaguzi na mfanyibiashara Adama Barrow. Akihutubia wanachama wa muungano wa...

Jamii ya kimataifa yamtaka Kabila kujiuzulu

- No comments

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila anazidi kupokea shinikizo kimataifa kutokana na hatua ya kukataa kuachia maamlaka baada ya muhula wake wa kikatiba kukamilika jumatatu. Ufaransa imesema itatuma ombi kwa umoja wa ulaya...

Monday, December 19, 2016

Darassa anusurika kifo kwenye ajali ya gari akiwa na meneja na director wake

- No comments

Video ikionesha mwanamuziki Darassa Baada ya kupata ajali Mwanamuziki Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Muziki amepata ajali akiwa na Mtayarishaji wa video Hanscana walipokuwa njiani wakirejea Dar es Salaam kutoka Kahama....

Sunday, December 18, 2016

Real Madrid yashinda kombe la klabu bingwa duniani

- No comments

Ronaldo na Benzema wakishereherekea ushindi wa klabu yao Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick na kuinusuru Real Madrid kuishinda klabu ya Japan Kashima Antlers katika muda wa ziada ili kushinda taji la klabu bingwa duniani. Real ilichukua uongoza...

Mpiganaji wa IS awaua wanajeshi 48 Yemen

- No comments

Mpiganaji wa IS awaua wanajeshi 48 Yemen Mshambuliaji wa kujitolea kufa katika mji wa bandarini Aden amewauwa wanajeshi 48 na kuwajeruhi wengine wengi. Ripoti zinasema kwamba wanajeshi hao walikuwa wamepanga foleni kupokea mishahara yao karibu na...

Waasi wachoma mabasi ya uokoaji watu Syria

- No comments

Mabasi ya kuwaokoa watu yamechomwa na waasi nchini Syria Mabasi kadhaa yaliokuwa yakielekea kuwaokoa wagonjwa na watu waliojeruhiwa katika kijiji kinachomilikiwa na serikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria yamechomwa na waasi. Msafara huo ulikuwa ukielekea...

Saturday, December 17, 2016

Tanzania: Mwanzilishi wa Jamii Forums afikishwa kortini Dar es Salaam

- No comments

Mwanzilishi wa JamiiForums Maxence Melo, ambaye amekuwa akizuiliwa na maafisa wa polisi nchini Tanzania tangu Jumanne amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kushtakiwa kwa makosa matatu. Makosa hayo ni kuendesha na kumiliki...

Oscar kuzidi Messi na Ronaldo kwa kulipwa pesa nyingi

- No comments

Mchezaji wa Chelsea Oscar anatarajiwa kuwa mchezaji soka anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani atakapohamia Ligi Kuu ya Uchina mwezi Januari. Shanghai SIPG wanatarajiwa kulipa £60m kumchukua kiungo huyo wa kati kutoka Brazil. Akifanikiwa kuondoka, basi Oscar,...

Chelsea yaendeleza moto wake yaishinda Cyrstal Palace bao 1-0

- No comments

Diego Costa ndiye mfungaji bora wa ligi akiwa na mabao 13 Chelsea wamefungua mwaya wa pointi tisa baada ya kuwazima Crysral Palace na kusalia kileleni mwa jedwali la ligi. Diego Costa aliwafungia Chelsea baada ya kuapata...

Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Papua New Guinea

- No comments

Tetemeko kubwa la ardhi lenye uzito wa 7.9 katika vipimo vya richa ambalo lilikumba eneo la pwani ya Papua New Guinea linaonekana kusababisha uharibifu kidogo au kukosa kutosababisha uharibifu kabisa. Wakaazi wengi wa pwani mwa nchi...

Malecela, Afisa mkuu wa NIMR aliyetangaza kuna Zika Tanzania afutwa kazi

- No comments

Mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu nchini Tanzania (NIMR), Dkt Mwele Malecela, ambaye alitangaza kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania, amefutwa kazi. Taarifa kutoka kwa mkurugenzi wa mawasiliano ya ikulu Gerson Msigwa...

Zika Tanzania: Magufuli ateua mkuu mpya NIMR

- No comments

Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Prof Yunus Mgaya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) saa chache baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa awali Dkt. Mwele...

Thursday, December 15, 2016

Wakazi wa mji wa Aleppo wahamishwa

- No comments

Mabasi ishirini na magari ya wagonjwa kumi yanatumiwa katika zoezi la kuwahamisha wakazi wa mji wa Alepo nchini Syria kiwa ni pamoja na waasi pamoja familia zao, Waziri wa Ulinzi wa Urusi amebaini. Kufuatia makubaliano kati...

Mfalme wa Uganda kupata mpishi Jela

- No comments

Mfalme Charles Mumbere Mfalme wa Uganda anayekabiliwa na mashtaka ya ugaidi amekubaliwa kuwa na mpishi binafsi na 'Fridge' ndogo kwenye chumba chake korokoroni. Amri hii imetolewa na mahakama. Charles Mumbere, Mfalme wa Rwenzururu amekubaliwa kupata huduma...

Binti wa rais wa zamani wa Msumbiji auawa

- No comments

Valentina Guebuza Binti wa Rais wa zamani nchini Msumbiji, Armando Guebuza, Valentina Guebuza ameripotiwa kupigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Maputo. Mumewe, Zofino Muiuane amekamatwa na polisi kufuatia tukio hilo lililofanyika Jumatano. Bi Guebuza...

Oscar: Kiungo wa Chelsea kuhamia China

- No comments

Oscar amechezea Chelsea mechi 202 tangu ajiunge nao 2012 Kiungo wa kati wa Chelsea Oscar amesema ana "uhakika 90% certain" kwamba atahamia klabu ya Shanghai SIPG inayocheza Ligi Kuu ya China kipindi cha kuhama wachezaji Januari....

Ligi ya soka DR Congo yasitishwa

- No comments

TP Mazembe ndio mabingwa watetezi wa ligi DR Congo Ligi ya kandanda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) imesitishwa kwa muda usiojulikana kutokana na sababu za kiusalama. Serikali ililitaka shirikisho la soka nchini humo...

Page 1 of 23123»