Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watotoleo imepokea vifaa vya
uchunguzi wa macho ikiwemo darubini,vifaa vya upasuaji vyenye thamani ya shilingi milioni
300.2 kutoka Benki ya Standard Chartered Vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki hiyo Sanjay Rughani
0 on: " Wizara ya Afya leo imepokea vifaa vya uchunguzi wa macho ikiwemo darubini,vifaa vya upasuaji "