Mfumo wa 3-4-3
Timu ya mpira wa miguu nchini Uingereza Chelsea yaendelea kupata matokeo mazuri baada ya Kocha wake Antonio Konte kubadili mfumo wa uchezaji na kuanza kutumia 3-4-3 katika mechi 6 walizocheza wamefanikiwa kushinda mechi zote kwa jumla ya magoli 17 na hawajafungwa goli hata moja
This time last year vs this time this year
Muda kama huu mwaka jana kulinganisha na mwaka huu
🔵Diego Costa alifunga magoli 3 tu EPL lakini kwa mwaka huu mpaka sasa kafunga magoli 10 na anaongoza orodha ya wafungaji kwa Ligi kuu ya uingereza(EPL)
🔵Mwaka jana walikua wamefungwa goli 25 Lakini mwaka huu wamefungwa goli 9 tu na wamecheza mechi 6 bila kufungwa
🔵Hazard alikua kafunga goli 2 Lakini sasa kafunga magoli 7 na kasaidia goli 1
⚽mwaka jana walifunga 13 Mwaka huu mpaka sasa wamefunga magoli 25.
N⚽
0 on: " Chelsea yaendelea kupata matokeo mazuri baada ya kubadili mfumo wa uchezaji "