Matokeo mechi za ligi kuu
ya uingereza zilizochezwa leo ambapo Manchester City wameibuka na ushindi wa
magoli 2 dhidi ya Burnley waliopata goli moja. Magoli yote ya manchester city
yamefungwa na mshambilaji wa mahiri Sergio Aguero. huku goli la burnely likifungwa
na Dean Marney
Burnley 1- 2 Manchester City
Chelsea yaendelea kung`ara ni baada ya kuibuka na
ushindi wa magoli 2 dhidi ya Totenham Hotspurs,
Chelsea imeendelea kuongoza ligi, Totenhum walikua
wa kwanza kupata goli mnamo dakika ya 11 lililofungwa na Christian Eriksen.
Chelsea iliendelea kufanya mashambulizi dakika ya 45 Pedro Rodriguez
aliisawazishia
chelsea dakika ya 52 Victor Moses
aliipatia chelsea goli la pili mpaka dakika 90 zinakamilika chelsea 2 - 0
Totenhum
Chelsea FC 2 - 0 Totenhum Hotspurs
Tazama Magoli kwenye mchezo kati ya chelsea na Totenham
Matokeo mengine ya mechi za ligi kuu ya uingereza zilizochezwa leo
Wachezaji 10 wanaoongoza kufunga magoli Ligi ya Uingereza (EPL)
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL
0
on: "
Matokeo mechi za ligi kuu ya uingereza zilizochezwa leo
"
0 on: " Matokeo mechi za ligi kuu ya uingereza zilizochezwa leo "