Watu waliouawa katika jimbo la Kivu kaskazini, walikuwa wa kabila la Hutu - washindani wa miaka mingi na wa-Nande, mashariki mwa Congo.
Watu waliuliwa kwa mapanga.
Eneo la mashariki mwa Congo lina utajiri wa madini, na mizozo mingi hutokea, na mingi hufanywa na wanamgambo wa makabila ya huko.
0 on: " watu 30 DR Congo wauawa katika shambulio la kikabila "