visitors

display number of visitors

Blog Archive

Theme images by Storman. Powered by Blogger.

Thursday, November 24, 2016

Panya buku kutumika kupima kifua kikuu Tanzania

Tanzania imezindua maabara kubwa ya aina yake mjini Dar-Es-Salaam inayopima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) kwa kutumia panya buku.
Kwa mujibu wa wataalamu wa maabara hiyo, panya mmoja ana uwezo wa kupima sampuli 100 na kutoa majibu ndani ya dakika 20 ikilinganishwa na njia nyingine ambapo majibu ya sampuli hutolewa kwa wastani wiki mbili. Je inawezekanaje?
Soma zaidi BBC Swahili

0 on: " Panya buku kutumika kupima kifua kikuu Tanzania "