visitors

display number of visitors

Blog Archive

Theme images by Storman. Powered by Blogger.

Wednesday, November 30, 2016

Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana awasili Tanzania kujiunga na Simba

Daniel Nana Agyei
Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana anayeichezea klabu ya Medeama ya kwao GhanaDaniel Nana Agyei amewasili Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mpango wake wa kujiunga na klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba.

Daniel anajiunga na Simba akiwa amewahi kuvitumikia vilabu vya Free State Stars ya Afrika Kusini, Liberty Professionals na Medeama SC zote za GhanaAgyei mwenye umri wa miaka 27 amewahi kuichezea timu ya taifa ya Ghana mechi 5

0 on: " Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana awasili Tanzania kujiunga na Simba "