visitors

display number of visitors

Blog Archive

Theme images by Storman. Powered by Blogger.

Monday, November 28, 2016

Arsenal yaibuka na ushindi wa 3 -1 dhidi ya AFC Bournemouth

Arsenal 3 -1 AFC Bournemouth

November 27 2016 klabu ya Arsenal iliikaribisha klabu ya AFC Bournemouth katika uwanja wake wa Emirates kucheza mchezo wao 13 wa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017.
Katika mchezo huo Arsenal wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli yakitiwa wavuni na Alex Sanchez dakika ya 12 na 90 na Theo Walcott dakika ya 53.
Goli pekee la AFC Bournemouth limefungwa na Callum Wilson  dakika ya 23, kufuatia ushindi huo Arsenal wanafikisha jumla ya point 28 na wapo nafasi ya nne wakati AFC Bournemouth wanabaki na point 15 na wapo nafasi ya 11.

0 on: " Arsenal yaibuka na ushindi wa 3 -1 dhidi ya AFC Bournemouth "