visitors

display number of visitors

Blog Archive

Theme images by Storman. Powered by Blogger.

Wednesday, November 30, 2016

Majivu ya Fidel Castro kusafirishwa Santiago

- No comments

Mji wa Santiago unaojulikana kama chimbuko la ukomunisti wa Cuba, ndiko mapinduzi yaliyoongozwa na marehemu Castro yalianzia mnamo mwaka 1953 na akachukua urais mwaka 1959. Baada ya mamia ya maelfu ya watu kuhudhuria misa ya wafu...

Mti mrefu zaidi Afrika wagunduliwa Tanzania

- No comments

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kusini Mashariki mwa Tanzania. Wanasayansi kutoka chuo cha Bayreuth nchini Ujerumani, wanasema wanaamini kuwa mti huo unaopatiknan...

Rwanda kuwapeleleza askari 20 wa Ufaransa

- No comments

Ofisi ya mashitaka ya Rwanda imetangaza kuanza upelelezi kuhusu askari 20 wa nchi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Tangazo lililotolewa na ofisi ya mashitaka ya Rwanda linasema kwamba Rwanda imewasilisha maombi ya...

Marekani yakiri kuongoza mashambulio dhidi ya wanajeshi wa Syria

- No comments

Marekani imekiri kufanya mashambulio mashariki mwa Syria yaliyowauwa makumi kadhaa ya vikosi vya serikali ya Syria vinvyopigana dhidi ya Islamic State (IS). Muungano unaoongozwa na Marekani unasema kuwa lengo kuu la shambulio hilo ambalo limetajwa kama...

Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana awasili Tanzania kujiunga na Simba

- No comments

Daniel Nana Agyei Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana anayeichezea klabu ya Medeama ya kwao GhanaDaniel Nana Agyei amewasili Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mpango wake wa kujiunga na klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba. Daniel anajiunga na Simba akiwa amewahi kuvitumikia vilabu vya Free...

Rais Magufuli azuru gereza la Ukonga ghafla

- No comments

Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar -Es - Salaam na kupiga marufuku uuzwaji wa sare za majeshi nchini...

Tuesday, November 29, 2016

DO NOT BITE MORE THAN YOU CAN CHEW

- No comments

Ebenezer Mollel For quite some time, we have been witnessing an increasing tide of adopting local content as a critical tool in addressing the capacity gap in resource rich countries. A few countries have gone a...

Philippe Coutinho hatocheza michezo 7 ya Ligi Kuu England baada ya kupata jereha

- No comments

Philippe Coutinho Mchana wa November 28 2016 kiungo mshambuliaji wa Liverpool Philippe Coutinho alipelekwa hospitali na alifanyiwa vipimo vya afya vya mwisho, ili kujua jeraha lake la kifundo cha mguu litamuweka nje ya uwanja kwa muda gani. Kiungo huyo...

Jose Mourinho kuadhibiwa

- No comments

Jose Mourinho akipiga teke chupa ya maji Chama cha soka cha nchini England FA, kimemfungulia mashitaka Meneja wa Manchester United Jose Mourinho kufuatia tukio la kupiga teke chupa za maji katika mchezo wa jumapili dhidi ya...

Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye tayari kujiuzulu

- No comments

Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye ameliomba bunge la nchi hiyo kutafuta njia ya kumuwezesha kuondoka madarakani, baada yake kukumbwa na kashfa ya ufisadi. Amesema anataka bunge limsaidie kpata njia...

Ndege iliyobeba wachezaji wa timu ya soka ya Brazil yaanguka Colombia

- No comments

Ndege iliyobeba watu 81, wakiwemo wachezaji wa klabu moja ya soka ya Brazil, imeanguka eneo la Medellin nchini Colombia. Taarifa zinasema watu 25 wamethibitishwa kufariki na sita wamenusurika..Ndege hiyo inadaiwa kupata hitilafu za mfumo wake wa...

Mshambuliaji ajeruhi 11 katika shambulizi kwenye Chuo Kikuu cha Ohio

- No comments

Mwanafunzi wa kisomali kwenye chuo kikuu cha Ohio ameendesha gari yake kwenye mkusanyiko wa watembea kwa miguu Jumatatu na halafu kutoka nje ya gari na kuanza kuwachoma visu, akijeruhi watu 11.Alipigwa risasi na kuuawa na polisi....

Mshauri mkuu wa rais wa Burundi anusurika kuuawa mjini Bujumbura

- No comments

Willy Nyamitwe Mshauri mkuu wa rais wa Burundi anayehusika na maswala ya mawasiliano, Willy Nyamitwe ameponea kuuawa baada ya kundi la watu kushambulia gari lake alipokua akikaribia nyumbani kwake eneo la Kajaga Kilomita 7 kutoka mjini...

Zimbabwe yazindua noti mpya

- No comments

Waandamanaji wakipinga utambulisho wa noti mpya nchini Zimbabwe Zimbabwe imetangaza kuanza kutumia noti mpya, ikitoa noti ya dhamana za serikali ya dola milioni 10, ambazo zinatazamiwa kusaidia kupunguza matatizo makubwa ya upatikanaji wa fedha. Matatizo ya...

Rais Magufuli akutana na Rais Lungu wa Zambia Ikulu

- No comments

Rais Lungu na Raisi  Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.  Mara baada...

Ufafanuzi mzuri Kuhusu kauli ya Waziri Ndalichako kwa wanaojiunga Vyuo Vikuu

- No comments

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekanusha taarifa zilizoenea ya kuwa, Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amezuia wanafunzi wenye Stashahada (Diploma) kujiunga na masomo ya Shahada (Degree) katika vyuo vikuu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...

Raia wa Sudan waendelea kususia shughuli za serikali

- No comments

Raia wa Sudan waendelea kususia shughuli za serikali Kwenye mitandao ya kijamii, wanaharakati kutoka mashirka mbalimbali nchini Sudan wametoa wito tangu Jumapili Novemba kususia shughuli za serikali kwa muda wa siku tatu mfululizo. Wito huu ulitolewa...

Fillon ashinda uchaguzi wa mchujo Ufaransa

- No comments

Francois Fillon Mhafidhina Francois Fillon ameshinda uchaguzi wa mchujo wa chama cha Les Republicains,kwa kutetea sera za kiliberali na "maadili ya Ufaransa". Ushindi huo unampa nafasi nzuri ya kushinda pia uchaguzi wa rais mwakani. Katika wakati...

Page 1 of 23123»