Aliyetaka kumuua Tundu Lissu picha yake hii Hapa. Viongozi wa Chadema walitoa tahadhari mapema wakidai kuna mtu aliomba kumuua Tundu Lissu kwa kuandika katika ukurasa wake wa Facebook. bintiz("summary7133800124753332849","Sababu Zilizofanya Dereva wa Tundu Lissu Asipigwe Risasi...
Monday, September 11, 2017
Friday, September 8, 2017

MBOWE HALI YA TUNDU LISSU NI MBAYA SANA
Mwanasiasa huyo amekimbizwa hospitali ya mkoa wa Dodoma na kupokea huduma ya kwanza na taarifa zinasema kuna mipango ya kumsafirisha hadi Nairobi kwa matibabu zaidi.Rais wa Tanzania John Magufuli kupitia kwenye Twitter amesema amesikitishwa sana na...
Thursday, September 7, 2017

Fifa yaamrisha mechi kati ya Afrika Kusini na Senegal kuchezwa tena
Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa. Refa huyo raia wa Ghana Joseph Lamptey, alipiwa marufuku kwa kusimia mechi...

Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
Mwanasiasa wa upinzani nchni Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa hospitali ya mkoa wa Dodoma na kupokea huduma ya kwanza na taarifa zinasema kuna mipango ya...
Saturday, February 11, 2017

Mkalimani akamatwa Tanzania kwa kutafsiri visivyo matamshi ya mtalii
Mkalimani katika mbuga ya wanyama pori nchini Tanzania amekamatwa baada ya kutafsiri visivyo matamshi ya mtalii mmoja kuhusu nchi na watu wake. Kwenye video iliyosambazwa kwa wingi, mkalimani huyo anasema kuwa mtalii huyo anataka watu wa...