Pakua na uangalia tamasha alilofanya Mwanamuziki Nguli nchini Tanzania Diamond Platnumz (Baba Tifah), Kwenye Party ya Fullmon , Kendwa Beach, Diamond alifanya tamasha live na kufanikiwa kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki waliofika kushuhudia show hiyo.
No comments:
Post a Comment