Mtu mwenye HIV aliyefanya mapenzi na wanawake 104 Malawi afungwa miaka 2 jela
Mahakama moja nchini Malawi imempatia hukumu ya miaka miwili jela mtu mwenye virusi vya HIV ambaye alikiri kufanya tendo la ngono na zaidi ya wanawake 100 na wasichana bila kutangaza hali yake
No comments:
Post a Comment