Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana awasili Tanzania kujiunga na Simba
 |
Daniel Nana Agyei |
Golikipa wa timu ya taifa ya Ghana anayeichezea klabu ya Medeama ya kwao GhanaDaniel Nana Agyei amewasili Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mpango wake wa kujiunga na klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba.
Daniel anajiunga na Simba akiwa amewahi kuvitumikia vilabu vya Free State Stars ya Afrika Kusini, Liberty Professionals na Medeama SC zote za Ghana, Agyei mwenye umri wa miaka 27 amewahi kuichezea timu ya taifa ya Ghana mechi 5
No comments:
Post a Comment